sahini

sahini

Saturday, August 30, 2014

ROONEY NAHODHA MPYA WA ENGLAND


roo
Mchezaji wa Manchester United na timu ya Taifa ya Uingereza, Wayne Rooney, ameteuliwa kuwa nahodha wa timu ya Taifa ya Uingereza leo hii na Roy Hodgson (Kocha mkuu), kwaajili ya michuano ya Kombe la mataifa ya Ulaya. UEFA Euro.
Rooney anachukua mikoba hiyo baada ya Steven Gerald kustaafu kuchezea timu hiyo ya Taifa baada ya tu kutolewa katika kombe la Dunia huko Brazili.
Rooney mwenye miaka 29, amesema anajisikia faraja sana kutajwa kuwa nahodha wa timu ya Taifa.
Kocha wa Timu ya Manchester United, Van Gaal, pia alishamtaja Rooney kuwa nahodha wa klabu hiyo siku kadhaa zilizopita, Hivyo basi Rooney anapata jukumu la tatu, Katika Familia kama Captain wa Nyumba (Baba), katika Klabu yake na sasa katika timu yake ya Taifa.

MANJI; TUTAWASILISHA JINA LA EMMANUEL OKWI KATIKA USAJILI WETU


Kitaifa

manji
Baraka Mbolembole, Dar es Salaam,
Rais wa klabu ya Yanga, Yusuph Manji amesema kuwa klabu yake itawasilisha orodha ya wachezaji sita wa kigeni badala ya watano wanaotakiwa kwa mujibu wa kanuni za usajili.
Akizungumza na vyombo vya habari siku ya leo, Manji amesema kuwa majina hayo yataambatana na jina la mshambulizi, Emmanuel Okwi ambaye jana klabu ya Simba SC ilitangaza kumsaini kwa mkataba wa muda usijulikana.
Mbuyu Twite na Haruna Niyonzima kutoka nchini Rwanda, Andrey Coutinho na Geilson Santos ‘ Jaja’ kutoka nchini Brazil na Hamis Kizza ni majina mengine matano ambayo yatapelekwa kwa shirikisho la soka nchini TFF, siku ya kesho.
HAYA NDIYO MALALAMIKO RASMI YA YANGA KUHUSU USAJILI WA OKWI
okwi 1
okwi 2Na
okwi 3

OKWI ASEMA KARUDI NYUMBANI

Okwi Arejea Msimbazi, Kucheza Kwa Muda Kulinda Kipaji Chake

posted 1 day ago by admin
Mipango waliyoitumia Yanga SC kumpata mshambuliaji Emmanuel Arnold Okwi ndiyo ambayo klabu yake ya zamani, Simba SC inaitumia kumrejesha kundini Mganda huyo.
Akizungumza na Waandishi wa Habari jana jioni mjini Dar es Salaam, Okwi amesema kwamba amesaini Simba SC mkataba huru wa muda, baada ya Yanga SC kumpa barua ya kusitisha mkataba naye jana pamoja na kumshitaki Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).
Okwi amesema ameamua kuomba kuichezea Simba SC kipindi hiki ambacho ana matatizo na Yanga SC ili kulinda kipaji chake, kwa kuwa hata FIFA haitaki mchezaji akae bila kucheza.
Msimbazi ni nyumbani; Okwi akiwa na jezi ya Simba SC baada ya kurejea timu yake ya zamani leo
“Sasa wakati Yanga wanaendelea na kesi yao, mimi ninaomba nichezee Simba SC ili kulinda kipaji changu. Nimewaandikia barua TFF na FIFA pia na nina matumaini usajili wangu utaidhinishwa, kwa sababu mimi si tatizo katika hili,”amesema.
Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe amesema kwamba wamemsaini mchezaji huyo baada ya kupitia kwa kina suala lake na Yanga SC na kugundua haki ipo upande wa mchezaji.
“Baada ya kulipitia suala lake na Yanga kwa undani kabisa na vielelezo ambavyo mchezaji mwenyewe ametupatia, tumejiridhisha tuko sahihi kumsaini ili acheze mpira kunusuru kipaji chake kipindi hiki ambacho ana matatizo na Yanga SC,”amesema Poppe. 
Yanga mtanikoma; Okwi akiwa ameshika jezi yake nbamba 25 kwa pamoja na Hans Poppe
Tayari Simba SC imetuma jina la mchezaji huyo katika usajili wake TFF na ataungana na Mganda mwenzake, Joseph Owino, Warundi Pierre Kwizera na Amisi Tambwe na Mkenya, Paul Kiongera katika wachezaji watano wa kigeni. 
“Tumewaandikia barua TFF kuomba kumtumia mchezaji huyu kwa muda wakati kesi yake na Yanga inaendelea, tumeambatanisha na barua yake ambayo yeye anatuomba kucheza kwetu kulinda kipaji chake,”amesema Poppe.
Okwi aliichezea Simba SC tangu mwaka 2009 kabla ya Januari mwaka jana kuuzwa kwa dola za Kimarekani 300,000 Etoile du Sahel ya Tunisia.
Etoile haikulipa fedha hizo Simba SC na baadaye ikaingia kwenye mgogoro na Okwi, aliyedai hakulipwa pia mishahara yake kwa miezi mitatu.
Okwi akawafungulia Etoile kesi FIFA na akaomba wakati mgogoro wao unaendelea, aruhusiwe kuchezea timu yoyote kulinda kipaji chake, ndipo akajiunga na SC Villa ya kwao.
Akiwa SC Villa ndipo aliposaini Yanga SC Desemba mwaka jana na pamoja na mapingamizi yaliyoanzia ndani, na baadaye klabu yake, Etoile- lakini Okwi aliidhinishwa kuichezea timu hiyo ya Jangwani.
Okwi aliichezea Yanga SC mechi 11 na kuifungia mabao matano- lakini kuelekea mechi tano za mwisho za Ligi Kuu msimu uliopita akaingia kwenye mgogoro na klabu hiyo.
Okwi alisusa kushinikiza amaliziwe fedha zake za usajili na mgogoro wao umeendelea huku mchezaji huyo akiwa amesusa tangu Machi, miezi minne tu baadaye tangu asajiliwe.
Vikao kadhaa vimekwishafanyika baina ya Okwi na Yanga SC tangu hapo kutafuta suluhu ya suala hilo na kikao cha mwisho leo baina ya mchezo huyo na Mwenyekiti wa klabu hiyo, Yussuf Manji matokeo yake ni nyota huyo kurejea Msimbazi.
Kuhusu deni lao la dola 300,000 kumuuza mchezaji huyo Etoile, Poppe amesema haihusiani kabisa na usajili wake huu wa sasa. “Ile kesi yetu ya madai ya fedha zetu kule FIFA ilikwishamalizika na vielelezo vyote vilipelekwa, bado kutolewa hukumu tu,” amesema.

Thursday, August 28, 2014

KWA MARA YA KWANZA RONALDO AFUNGUKA KUHUSIANA NA URAFIKI WAKE NA MESSI



Kwa mara ya kwanza mshambuliaji nyota wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo amefunguka kuhusiana na uhusiano wake na Lionel Messi na kusema anamheshimu hasa juhudi zake za kutaka mafanikio kama mchezaji pamoja na klabu yake ya Barcelona.

SWALIBaada ya miaka mitano sasa na Real Madrid, umechoka kulinganishwa na Messi au umejifunza jambo?
JIBUNi sehemu ya kazi tu kama vile ambavyo kwenye mashindano ya langalanga (Formula 1), watu wanafananisha kati ya Ferrari na Mercedes. Haya yamekuwa maisha yangu hapa Madrid, lakini najua mambo yanabadilika na hata nilipokwenda Manchester kulikuwa na mengine tofauti.
SWALI. Kumekuwa na taarifa kwamba uhusiano wako wewe na Messi nje ya mpira umekuwa si mzuri?
JIBU. Si kweli, sisi ni marafiki, ni marafiki kazini. Binafsi sina rafiki nje ya mpira, pia sina urafiki na Messi nje ya mpira. Anajitahidi kufanya makubwa katika klabu yake na timu ya taifa, sawa ninavyofanya mimi. Tunachezea timu zenye upinzani mkubwa na huenda ushindani huo unafanya watu wayakuze hayo mambo.
SWALI. Unafikiri wewe na Messi, siku moja mtakutana, mkae na kuanza kujadili haya yaliyotokea huku mkiangua vicheko kwa furaha?

JIBU. Nafikiri inawezekana, soka ni mchezo wa furaha, soka ni kitu kikubwa na unaweza kuufananisha na saa. Ndiyo maana nashauri kuwaangalia wapinzani kwa jicho la mafanikio na kukubali wanachofanya kwa vile ni kitu kizuri.

EVERTON WAMNASA ETO'O NA KUMPA JEZI NAMBA TANO.

Martinez: Asema kilichomvutia kumsajili Samuel Eto'o kwa miaka miwili (Video)

posted 3 hours ago by admin
Mshambuliaji kutoka nyumbani Afrika katika nchi ya Cameroon Samuel Eto'o Fils ametambulishwa rasmi kwa waandishi wa habari ikiwa ni siku moja baada ya kukamilisha usajili wa kujiunga na klabu ya Everton kwa mkataba wa miaka miwili.
Meneja wa klabu ya Everton Roberto Martínez Montoliú amemtambulisha Eto’o mbele ya waandishi wa habari pamoja na kutoa sababu za kile kilichomvutia kumsajili mshambuliaji huyo ambaye msimu uliopita aliitumikia Chelsea kwa mkataba wa mwaka mmoja.
Martinez amesema uwajibikaji na kujituma kwa mshambuliaji huyo kutoka nyumbani Afrika ndio chagizo kubwa lililompa msukumo wa kumsajili baada ya kuona uwezekano wa kuwa nae kwenye kikosi cha The Toffees.
Amesema kabla ya kukamilisha mipango ya kumsaili aliketi kitini na Samuel Eto’o na kumueleza nini anachokihitaji kutoka kwake na mwishowe walifikia makubaliano ya kiutendaji, hali ambayo anaamini aitakamilishwa kwa vitendo uwanjani.
Samuel Eto’o anatarajiwa kuwa sehemu ya kikosi cha Everton ambacho mwishoni mwa juma hili kitapambana na Chelsea kwenye uwanja wa Goodson Park huko jijini Liverpool

SASA BAYERN HOI KWA BVB


Pierre-Emerick Aubameyang © Gallo Images

BVB thrash Bayern in Challenge



Borussia Dortmund edged out rivals Bayern Munich 6-0 in the Bundesliga’s Cross Bar Challenge.
The aim is to hit the crossbar from 16 metres out and features all the 17 Bundesliga teams. Clubs select five players to represent them and each club gets 15 attempts to hit the target.
Dortmund finished top of the standings with a total of six direct hits and were closely followed by Werder , who found the target five times.
BVB were represented by Pierre-Emerick Aubameyang, Henrikh Mkhitaryan, Erik Durm, Adrian Ramos and Ciro Immobile.
TSG Hoffenheim who finished ninth last season, finished third in the challenge, tied on four hits with Eintracht Frankfurt and Hertha BSC.
Five teams managed three hits each and six other teams could only get a total of two hits.
The league champions Bayern finished at the bottom of the standings without even a single hit. The defending champions picked Robert Lewandowski, Dante, David Alaba, Javi Martinez and Jerome Boateng to represent them.

USAJIRI WA KUTISHA LA LAKERS.

(Too Early) Lakers Line Up Guesses

Lakers Reporter
With the official signing of rookie Jordan Clarkson on Monday, L.A.'s roster stands at 13 players, out of a possible 15 that can be kept by any NBA team for the regular season, and as such, GM Mitch Kupchak could add another player or two.
What will new coach Byron Scott's rotations look like in the coming-faster-than-you-think 2014-15 season?
Here are a couple of (slightly) educated guesses based on our conversation with the former Showtime shooting guard from last week:

LAL LINE UP VERSION 1

PG: Jeremy Lin
SG: Kobe Bryant
SF: Wesley Johnson
PF: Carlos Boozer
C: Jordan Hill
Sixth Man: Nick Young
Bench Rotation: Steve Nash, Xavier Henry, Julius Randle and Ed Davis
Deeper Bench: Robert Sacre, Ryan Kelly and Jordan Clarkson
The one absolute lock for the starting five is … you guessed it … Kobe Bryant. Lin's the next most likely starter, his relative youth -- 10 years younger, to the day, than Bryant -- and athleticism a good compliment to Kobe. Ditto for Johnson, whose talent Scott really likes and wants to maximize after an inconsistent 2013-14 for the 27-year–old wing. (Johnson's been working out with Bryant throughout the summer, and having No. 24 on the floor with him could well be a boon for Johnson's motor.) The frontcourt is less certain, but Boozer and Hill's respective high/low post games could mix well on offense, and the two can likely best take care of L.A.'s glass on both ends of the floor. Scott plans to account for the lack of rim protection by playing "a lot of help the helper to keep the ball from getting into the paint," which will take time to learn. He specifically said he'd like to see the rookie Randle playing next to Boozer, so Julius could be an early sub off the bench alongside Swaggy P, whom Scott prefers in the sixth man slot to maximize his offensive gifts and time on the ball. If healthy, Nash remains the NBA's best shooter and can still create plays off the dribble, while Henry showed strong flashes last season before succumbing to injuries he continues to rehabilitate. If Xavier hasn't fully recovered from surgeries on his wrist and knee, Clarkson could get some early run, but Henry does expect to be ready by the start of camp. Davis is the best rim protector on the team and is absolutely worth an extended look.
Steve Nash

LAL LINE UP VERSION 2

PG: Jeremy Lin
SG: Xavier Henry
SF: Kobe Bryant
PF: Julius Randle
C: Carlos Boozer
Sixth Man: Nick Young
Bench Rotation: Jordan Clarkson, Wesley Johnson, Ryan Kelly and Jordan Hill
Deeper Bench: Ed Davis, Robert Sacre, Steve Nash
Nash is currently 100 percent healthy and feeling no nerve pain for the first time in two years, but if that changes, he'd drop from the bench rotation in favor or Clarkson or some guard to be named later. Meanwhile, Randle could impress in camp to the point that Scott wants to reward him with a starting slot. If Johnson struggles or Henry looks great, Xavier could find himself next to Bryant on the wing. Scott could also be intrigued by a smaller bench line up featuring Kelly's capabilities as the lone stretch four on the roster, which would make frontcourt minutes harder to come by for Davis, Hill and Sacre. There is a situation where Young could start next to Bryant, but he's more likely to finish games than start them.
Bryant Nash Hill

LAL LINE UP VERSION 3

PG: Steve Nash
SG: Jeremy Lin
SF: Kobe Bryant
PF: Carlos Boozer
C: Jordan Hill
Sixth Man: Nick Young
Bench Rotation: Jordan Clarkson, Xavier Henry, Ryan Kelly, Julius Randle, Ed Davis
Deeper Bench: Wesley Johnson, Robert Sacre
It's unlikely that you'll see such a group, but Scott did mention the small Nash-Lin-Bryant group as a possibility if he's not getting what he wants from wings Johnson or Henry. This group would struggle defensively on the perimeter, but be difficult to track offensively, with three playmakers who can all shoot and space on the opposite side of the floor as well. You can flip flop the bigs as well, with Randle, Hill, Davis and even Kelly or Sacre getting into the rotation depending on the skill set required on a given night

ARSENAL YAPONEA CHUPU CHUPU UEFA.

Video: Arsenal yapenya kwa mbinde, Mathew Debuchy alambwa kadi nyekundu

posted 6 hours ago by admin
Mzimu wa kadi nyekundi umeendelea kuisumbua Arsenal katika michuano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya ambayo usiku wa kuamkia hii leo ilimaliza hatua ya michezo ya mtoano.
Arsenal walijikuta wakimaliza pungufu walipokuwa katika uwanja wao wa nyumbani wakicheza mchezo wa mkondo wa pili wa hatua ya mtoano dhidi ya Besiktas kutoka nchini Uturuki baada ya beki wao wa pembeni kutoka nchini Ufaransa Mathew Debuchy kuonyeshwa kadi mbili za njano ambazo zilizaa kadi nyekundu.
Hata hivyo kabla ya tukio hilo halijatokea katika dakika ya 75 Arsenal walikuwa mbele kwa bao moja ambalo liliwapa ushindi wa jumla na kufanikiwa kusonga mbele kwenye hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa barani Ulaya.
Bao hilo pekee na la ushindi lilifungwa na mshambuliaji wa pembeni kutoka nchini Chile Alexis Alajandro Sanchez katika dakika ya 45 kipindi cha kwanza.
Mara baada ya mtanange huo kumalizika huko kaskazini mwa jijini London meneja wa Arsenal, Arsene Wenger aliteta na waandishi wa habari na kuelezea ugumu wa mpambano huo ulivyokuwa hasa baada ya muamuzi kutoka nchini Ureno Pedro Proença Oliveira Alves Garcia kumuadhibu kwa kadi nyekundu Mathew Debuchy kufuatia madhambi aliyomfanyia Mustafa Pektemek.
Wenger amesema kwa hakika muamuzi Proenca hakumtendea haki Debuchy kwa kumuadhibu kwa kadi nyekundi kutokana na uhalisia ulioonekana kwa kuucheza mpira na si kumfanyia madhambi Mustafa Pektemek.
Ushindi huo wa bao moja kwa sifuri ambao unaoivusha Arsenal hadi katika hatua ya makundi, unampa sifa kubwa meneja Arsene Wenger kutokana na mafanikio ya kuiwezesha klabu hiyo ya jijini London kucheza michuano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya kwa mara ya 17 mfululizo tangu alipoajiriwa mwaka 1996

JINSI SHERFFIELD UNITED WALIVYOWAFANYA WEST HAM

Capital One Cup: Sheffield United overcome West Ham on penalties

Last Updated: 27/08/14 3:40pm
  • Share:
Sheffield United: Held their nerve at Upton Park
Sheffield United: Held their nerve at Upton Park
Sheffield United claimed a Premier League scalp as they prevailed 5-4 in a Capital One Cup second round penalty shoot-out with West Ham United.
The Upton Park contest had ended 1-1 after 120 minutes, with Diafra Sako edging the hosts in front, only to see Winston Reid put through his own net to restore parity.
West Ham fans taunted their Sheffield United counterparts with chants about Carlos Tevez - only to see their latest big-money signing miss the decisive penalty.
This was the first meeting between the two sides since the Blades were relegated in 2007, largely thanks to Tevez's goals at West Ham - only for a legal wrangle over the Argentina international's ownership leading to the Hammers paying out almost £30million in compensation.
There are now two divisions separating the clubs but it is Sheffield United who progress into the third round after Enner Valencia, a £14million signing from Pachuca, was the only player to miss his spot-kick.
Sakho was quiet but managed to put the Premier League side ahead with a well-taken first-half header, only for Reid - captain for the evening - to score an unfortunate second-half own goal, with few chances created by either side as the game meandered into extra time and eventually to penalties.
West Ham: Left dejected after shootout
Both sides converted their opening four spot-kicks before Valencia, who had wasted a couple of good chances during the night, saw his low effort saved by the impressive Mark Howard.
Blades' skipper Michael Doyle then stepped up to seal the win for Nigel Clough's side - who will see the result as a small piece of revenge for the whole Tevez saga

ALONSO KUFUATA NYAYO ZA XAVI

Alonso afuata nyayo za Xavi Hernandez wa FC Barcelona

posted 4 hours ago by admin
Kiungo wa klabu bingwa barani Ulaya, Real Madrid, Xabi Alonso ametangaza kustaafu kuichezea timu ya taifa ya Hispania baada ya kuitumikia timu hiyo katika michezo 114.
Alonso mwenye umri wa miaka 32 ametangaza maamuzi hayo baada ya kiungo mwenzake Xavi wa FC Barcelona kutangulia kustaafu kuitumikia timu ya taifa siku chache zilizopta.
Alonso ametangaza maamuzi ya kustaafu soka kwa upande wa timu ya taifa, kupitia mtandao wa kijamii wa tweeter ambapo anaamini kwenye mtandaio huo habari hizo zitawafikia mashabiki wake kwa haraka zaidi.
Ujumbe wake katika mtandao huo wa kijamii unaeleza kwamba "Nimeamua kustaafu kuichezea timu ya taifa ya Hispania, baada ya miaka 11 kuitumikia timu hiyo.”
Kiungo huyo alikuwa sehemu ya kikosi cha Hispania kilichokubali kufungwa mabao matano kwa moja dhidi ya Uholanzi katika mchezo wa kwanza wa kundi la pili kwenye fainali za kombe la dunia za mwaka 2014 zilizochezwa nchini Brazil.
Pia alikuwa sehemu ya kikosi cha Hispania kilichotwaa ubingwa wa barani Ulaya mara mbili mwaka 2008 na 2012 pamoja na ubingwa wa kombe la dunia mwaka 2010 baada ya kuifunga Uholanzi bao moja kwa sifuri.
Alonso alianza kuitumikia timu ya taifa ya Hispania mwezi April mwaka 2003 alipokuwa mchezaji wa klabu Real Sociedad, na mchezo wake wa kwanza ulishuhudia La Roja wakipambana na Ecuador.
Kiungo huyo ambaye aliwahi kuitumikia klabu ya Liverpool ya nchini Uingereza kwa mara ya mwisho alichezea Hispania katika fainali za kombe la dunia za mwaka 2014, wakati wa mchezo dhidi ya Australia waliokubali kufungwa mabao matatu kwa sifuri

MAN U NA ARSENAL WAGOMBEA KUMNASA KIUNGO Willium Carvalho

Man Utd yatangaza vita na Arsenal zikisalia siku nne ...

posted 3 hours ago by admin
Katika kuhitaji kujiimarisha kabla ya dirisha la usajili halijafungwa usiku wa manane siku ya jumapili, Man Utd wamejikuta wakiingia vitani na wapinzani wao Arsenal kwenye mipango ya kumuwania kiungo mkabaji kutoka nchini Ureno na klabu ya Sporting Lisbon William Carvalho.
Man Utd wameingia katika vita hiyo ikiwa ni awamu yao ya pili kuonyesha nia ya kutaka kumsajili kiungo huyo mwenye umri wa miaka 22, lakini kati kati ya mwezi uliopita walijiondoa na kuipisha Arsenal ambayo ilitajwa kuwa na mipango ya kumpeleka nchini Uingereza.
Man Utd wameonyesha lengo hilo kwa mara ya pili huku uongozi wa klabu ya Sporting Lisbon ukiwa umeshawaarifu Arsenal kutoa kiasi cha paund million 24, ili waweze kukamilisha dili hilo.
Hata hivyo bado haijafahamika kama klabu hizo za nchini Uingereza zimeshatuma ofa mjini Lisbon kwa ajili ya kuanza vita ya kumuwania William Carvalho ama la.
Carvalho alionyesha kiwango kizuri wakati wa fainali za kombe la dunia za mwaka 2014 ambazo zilifanyika nchini Brazil, japokuwa timu yake ya taifa ya Ureno iliondolewa mapema katika hatua ya makundi